Posts

Ujue Ugonjwa Wa PID BY DR CHRISS

  Pelvic Infalammatory Disease (PID) ni maambukizi kwenye viungo vya uzazi vya mwanamke. PID hutokea pale bakteria waenezwao kwa ngono wanaposambaa kutoka kwenye uke (vagina) hadi kwenye nyumba ya uzazi (uterus), mirija ya uzazi (fallopian tubes) na ovari. Dalili za PID huweza kuwa ni ngumu kueleweka. Baadhi ya wanawake hawaoni dalili zo zote. Kwa maana hiyo, unaweza usihisi cho chote hadi pale utakaposhindwa kupata ujauzito au hadi utakapoanza kupata maumivu ya kiuno. Dalili Za PID PID inaweza isilete dalili zo zote mbaya na ndogo zikitokea zinaweza kuwa ngumu kuzigundua. Baadhi ya wanawake hawapati dalili zo zote. Pale zinapojitokeza, zinaweza kuwa: . Maumivu – yanayoweza kuwa madogo au makali – maeneo ya chini ya tumbo au nyonga . Uchafu usio wa kawaida au mzito ambao unaweza kuwa na harufu mbaya . Kutokwa damu kusiko kwa kawaida, hasa wakati wa tendo la ndoa, au katikati ya siku za hedhi . Maumivu wakati wa kujamiiana . Homa, wakati mwingine kusikia baridi . Maumivu wakati wa h...

vidonda vya tumbo

*Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya* kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, kama ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo. Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine kama kansa, homa, kupungua uzito. CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni; 1.Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori) 2.Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu kama asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zing...

Ujue Ugonjwa Wa PID

  Pelvic Infalammatory Disease (PID) ni maambukizi kwenye viungo vya uzazi vya mwanamke. PID hutokea pale bakteria waenezwao kwa ngono wanaposambaa kutoka kwenye uke (vagina) hadi kwenye nyumba ya uzazi (uterus), mirija ya uzazi (fallopian tubes) na ovari. Dalili za PID huweza kuwa ni ngumu kueleweka. Baadhi ya wanawake hawaoni dalili zo zote. Kwa maana hiyo, unaweza usihisi cho chote hadi pale utakaposhindwa kupata ujauzito au hadi utakapoanza kupata maumivu ya kiuno. Dalili Za PID PID inaweza isilete dalili zo zote mbaya na ndogo zikitokea zinaweza kuwa ngumu kuzigundua. Baadhi ya wanawake hawapati dalili zo zote. Pale zinapojitokeza, zinaweza kuwa: . Maumivu – yanayoweza kuwa madogo au makali – maeneo ya chini ya tumbo au nyonga . Uchafu usio wa kawaida au mzito ambao unaweza kuwa na harufu mbaya . Kutokwa damu kusiko kwa kawaida, hasa wakati wa tendo la ndoa, au katikati ya siku za hedhi . Maumivu wakati wa kujamiiana . Homa, wakati mwingine kusikia baridi . Maumivu wakati wa h...

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUSAINI MKATABA WA AJIRA" 💼✍️

Ukiwa na furaha kubwa kwa kupata mkataba wa ajira na mwajiri wako mpya! 💼✨ Ni muhimu kufuata hatua hizi muhimu kabla ya kusaini: 1️⃣ SOMA KWA MAKINI: Hakikisha kusoma kila kifungu cha mkataba wako. Elewa masuala ya mshahara, majukumu, likizo, na masuala mengine ya kisheria. Kama kuna maswali, wasiliana na mwajiri wako ili upate ufafanuzi.  2️⃣ PATA USHAURI WA KITAALUMA: Ili kuepuka shida zisizotarajiwa, ni busara kupata ushauri kutoka kwa wakili, mshauri wa masuala ya ajira. Watakusaidia kuelewa masuala ya kisheria na haki zako kama mfanyakazi.  3️⃣ JADILIANA KWA HESHIMA: Ikiwa una wasiwasi kuhusu baadhi ya vifungu, muulize mwajiri wako kwa heshima. Kumbuka, mazungumzo ni sehemu ya mchakato wa ajira na haimaanishi unaonyesha kukataa mkataba.   4️⃣ WEKA KUMBUKUMBU: Hifadhi nakala ya mkataba wako na mawasiliano yote na mwajiri. Hii itakuwa muhimu ikiwa kutatokea mabishano au mizozo baadaye.   5️⃣ ZINGATIA MUDA: Fanya uamuzi kabla ya muda wa mwisho wa kusaini mkataba. ...

*MOYO KUPANUKA SIO TATIZO LINALOSABABISHWA NA MOYO WENYEWE

Moyo kupanuka au kuwa mkubwa ni tatizo ambalo huathiri utendaji wa mfumo wa usambazaji damu mwilini. Ni hali inayosababishwa na ukinzani wa moyo jinsi unavyotoa na kuingiza damu katika mishipa ya moyo na kuelekea sehemu mbalimbali za mwili. Moyo kupanuka kutokana na mazingira ya kusukuma damu kwa nguvu ya ziada tofauti na kawaida, hivyo kusababisha misuli ya moyo kuharibika. Wakati mwingine moyo hutanuka bila sababu zinazojulikana moja kwa moja. Pia, wakati mwingine moyo unaweza kutanuka kwa kipindi kifupi kutokana na mgandamizo kwenye mwili wako mfano ujauzito. Hali nyingine ni tatizo la moyo ulilozaliwa nalo, kuharibika kwa moyo kutokana na mshtuko wa moyo, kudhoofu kwa misuli ya moyo au moyo kutodunda kwa mpangilio. Mazingira hayo huweza kusababisha moyo kutanuka. Hali zingine za kiafya zinazohusiana na moyo kutanuka ni kama zifuatazo: Kupanda kwa shinikizo la damu Hali hii husababisha moyo kusukuma damu kwa nguvu zaidi ili kuifikisha sehemu mbalimbali za mwili. Hali inayosababisha ...

*TAMBUA VIPIMO VINAVYOHUSIKA KUPIMA TEZIDUME ILI KUBAINI TATIZO*

Njia ziko nyingi daktari wako ataamua atumie njia gani kutokana na hatua ya tatizo lako  lilivyo. Hizi ni baadhi ya njia;👇 1..KUCHUNGUZA TEZI DUME KUPITIA NJIA YA HAJA KUBWA AU DIGITAL RECTAL EXAMINATION (DRE) upimaji tezi dume Hiki ni kipimo cha kwanza kabisa ambacho mgonjwa hufanyiwa na daktari wake. Ni kipimo kinachoweza kumpa daktari picha ya tatizo na kufahamu kuhusu ukubwa na hali ya tezi dume. Daktari akiwa amevaa glovu huingiza kidole chake cha shahada katika njia ya haja kubwa au puru (rectum) ya mgonjwa kasha kuzungusha zungusha ili kufahamu kama tezi limevimba ama la na pia hali yake kama ni gumu kuliko kawaida ama lina utando na nyama laini. 2.KIPIMO CHA DAMU CHA PROSTATE-SPECIFIC ANTIGEN (PSA): PSA husaidia kutofautisha kati ya saratani ya tezi dume na BPH. PSA ni aina ya protein inayozalishwa na seli za tezi dume na kiwango chake huongezeka iwapo kuna saratani ya tezi dume. 3.UTRASOUND YA PURU (RECTAL ULTRASOUND) Kipimo hiki hufanyika iwapo daktari atahisi kuwepo kwa...

ZIJUE SABABU ZA MIMBA KUTOKA KABLA YA WAKATI

➡️Mimba kuharibika au miscarriage ni kitendo cha kupoteza kichanga kwa mama mjamzito kabla ya muda wa kujifungua kuwadia.     Mara nyingi hutokea ndani ya miezi mitatu ya mwanzo baada ya kushika ujauzito. sababu za  mimba kutoka zinatofautiana kwa kila mwanamke. ➡️ Namna 5 za Mimba Kuharibika na Kutoka.    ➡️ Kuna aina namna nyingi za mimba kuharibika. Kwa Kutegemeana na sababu ya mimba yako kutoka mapema pamoja na hatua ya ukuaji wa mimba aina hizi zinaweza kuainishwa kama ifuatavyo 1️⃣  Blighted ovum: ni pale yai lililorutubishwa linajipandikiza kwenye ukuta wa uterus lakini mimba haikui na kupelekea kuharibika. 2️⃣  Complete miscarriage: ni pale kiumbe kilichotungwa kinatolewa nje ya mfuko wa mimba. Inaweza kusababisha damu kuvuja 3️⃣ Missed miscarriage: Ni pale kiumbe kidogo kufariki tumboni pasipo kupata viashiria vyovyote 4️⃣ Reccurent miscarriage: ni pale mimba zako zinapotoka mfululizo mara 3 au zaidi ndani ya miei mitatu ya kwanza 5️⃣Threatene...

zijue silaha 5 katika ulimwengu wa roho

Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho. Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza ni ufalme wa nuru na falme ya pili ni ufalme wa giza. Falme zote hizi zina muundo na uongozi na mamlaka kamili.Katika viumbe vyote binadamu ndiyo kiumbe pekee mwenye sifa ya kuweza kuishi katika ulimwengu wa kiroho na ulimwengu huu wa kimwili kwa wakati mmoja.Inawezekana umesoma vitabu vingi sana na kufanya jitihada nyingi sana ili ufanikiwe katika maisha yako lakini bado umeshindwa. Nakushauri fuatilia darasa hili kwa umakini na siku ukimaliza Lazima ufanikiwe kwa kuwa manbo yote huanzia katika ulimwengu wa kiroho na ndicho utakachojifunza hapa.  Zifuatazo ni silaha kuu tano za ulimwengu wa kiroho.  1. Damu 2. Jina 3. Kiti 4. Maneno 5. Ardhi na Mbingu Ukiweza kujifunza silaha hizi kwa umakini,utaweza kujua ulimwengu wa kiroho unavyofanya kazi,utapata nguvu za kuingia katika ulimwengu...

WINE IS A MOCKER

 _"Wine is a mocker and beer a brawler; whoever is led astray by them is not wise" (Proverbs 20:1)._ The LORD communicates to us through our senses. He is delighted in voluntary sane responses to His love from His people. When one takes strong wine or beer, their senses are tempered with and they are moved to say or do what they would not otherwise do had they not taken wine. No matter how much people, even some clergy, try to justify beer drinking, its horrible effects are everywhere for the wise to see. Marriages have been ruined, relationships have been destroyed and above all, many crimes have been committed under the influence of beer or strong wine. According to Solomon, whoever tries to justify the drinking of beer is not wise. If you want to celebrate, you don't need to become a bit insane to enjoy. You have to celebrate with your clear mind because you will be responsible for whatever you do. Some people have concluded that celebration occasions where beer is abs...

seventh Adventist day church logo

Image
Exodus 20:8

Nani atapata fedheha

Mwanaume mmojaa alikuwa anamlazimisha mkewe kufanya mapenzi gizani kwa muda wa miaka kumi. Ndipo siku moja mwanamke uzalendo ukamshinda na kuamua kuwasha taa kwa ghafla. Ile kawasha tu, tualipigwa na bumbuwazi baada ya kuona kuwa kumbe mumewe ana uume wa bandia! Mwanamke alihamaki na kumwambia mume wake haya naomba maelezo haraka kabla sijakinukisha kwa majirani na marafiki zako?  Mwanaume akajibu Mimi ndio naomba maelezo makubwa mno, nataka uniambie hawa watoto wetu watatu wamepatikana vipi?🤣🤣   Swali: Nani atapatwa na fedheha zaidi, deal lake likibumburuka. 🤣🤣 A. 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝘂𝗺𝗲👨🏾 B. 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝗺𝗸𝗲👩🏽

FAIDA 48 ZA JUISI YA TANGAWIZI AMBAZO ULIKUWA HUZIJUWI

  1. Huondoa sumu mwilini haraka sana 2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini hata salmonella ndani ya mwili hata juu ya ngozi 3. Kuna viua vijasumu (antibiotics) vya asili viwili kwenye tangawizi 4. Huondoa uvimbe mwilini 5. Huondoa msongamano mapafuni 6. Tangawizi inayo ‘zingibain’ ambayo huua vimelea mbalimbali vya magonjwa na mayai yake 7. Huondoa maumivu ya koo 8. Huua virusi wa homa 9. Huondoa maumivu mbalimbali mwilini 10. Huondoa homa hata homa ya baridi (chills) 11. Hutibu saratani ya tezi dume. Tangawizi huua kimeng’enya ambacho ni chakula cha seli za kansa ya tezi dume kiitwacho ‘5-LO enzymes’ na seli hizo za kansa hufa ndani ya masaa mawili au manne bila hicho kimeng’enya. 12. Tangawizi ina kiinilishe mhimu sana ambacho huzuia kuongezeka kwa seli za kansa ya kongosho kiitwacho kwa kitaalamu kama ‘gingerol” 13. Hutibu kansa zinazoweza kusababishwa na kupata choo kigumu muda mrefu (constipation-r elated cancer) 14. Ni dawa nzuri kwa kansa ya kwenye damu (leukemia) 15. Ni ...

Never dare God !! I repeat, NEVER DARE GOD!!!

The Titanic boat ⛵️ owner said: "Not even God can sink this boat′′ and you know what happened? The boat ⛵ sank soon after. Marilyn Monroe said: "I don't need JESUS." 3 days later, she was found dead. A mother said to her daughter, "God be with you." Ironically, the daughter replied, "There is no room in the car except in the trunk." On their trip, there was an accident where all the people inside the car died, but the trunk remained intact, the crates of eggs in the truck no one of it was broken.  A Dad told his Son, "may God protect you", and the son said, "my friends will protect me more than God", when He was returning from his work a stray bullet killed him where the friends watched but could not protect him. A boy went to a church and started urinating on the cross saying "there is no GOD", the next day, he lost his arms and confessed to the desecration. The Brazilian people celebrated their satanic festival and ...

*I JUST REMIND YOU THESE IMPORTANT THINGS TO DO IF YOU ARE 40+ YEARS OLD AND YOU WANT TO BE HEALTHY, TAKE CARE OF THESE

 *SET A HABIT OF TESTING FREQUENTLY*   1. Blood pressure   2. Blood Level Sugar/diabetes   3. Level of fat/Cholesterol 4. Level of Hormones 5. Prostate 7. Cancer  *REDUCE*   1. Salt   2. Sugar   3. carbohydrates   4. Milk   5. Processed foods   6. Too much fat  *Use more:*   1. Vegetable   2. Cereals   3. Beans   4. Seeds   5. Eggs   6. Natural oils such as olives, fish, coconut and derived from seeds...)   7. Fruits *THREE THINGS YOU SHOULD REMEMBER:*   1. Your age   2. The past   3. Your regrets *THREE VERY IMPORTANT THINGS:*   1. Your friends   3. Your positive thoughts   4. Your beautiful home. *THREE BASIC THINGS:* 1. Always smile/laugh   2. Practice at home 3. Check and balance your weight *SEVEN THINGS TO CONSIDER:*   1. Don't wait for thirst to drink water   2. Don't wait to fall asleep before going to sleep   3. Don't wait until you ar...

TUMIA NJIA HIZI KUACHA KUJICHUA (MASTERBATION)*

Hebu Jiulize Katika Nafsi Yako Kuwa Ni Sahihi Kuendelea kujichua au kuacha Kujichua ? Jibu Bakia Nalo....  *Endelea Na Elimu 👇* *1. Acha Kuangalia Video Za Ngono;* video hizi ndio chanzo kikuu cha punyeto kwa watu wengi Hua zinajenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto , Hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako.                                                                                                 *2. Weka Mipango Ya Kuzuia Kupiga Punyeto Wakati Wa Kuoga;* Bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu wengi kupiga punyeto , hivyo ni vizuri kua na mikakati ya kujizuia ukiwa huko kwa kuoga haraka na kuondoka, kuoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga punyeto. *3. ...

ATHARI ZA KUSUKA, KUWEKA DAWA KWA KINA DADA*

Image
✅NI dhahiri kwamba kati ya wanawake kumi, mmoja tu ndiye unayeweza kumkuta akiwa na nywele zake za asili, waliosalia  utawakuta aidha wamesuka, wameshonea nywele za bandia (weaving) au wameweka dawa. ✅Wengi hufanya hivyo kwa sababu ya kusaka urembo na kupendezesha muonekano wao. ✅Utafiti uliofanywa na wataalamu wa kliniki ya Cleveland iliyoko nchini Marekani, umebaini kuwa wanawake wanaobadili nywele zao wako katika hatari ya kupoteza nywele zao za asili. ✅Watafiti hao wanaeleza katika matokeo ya utafiti wao uliowahusisha wanawake 326 wenye asili ya Kiafrika (African-American) ambao baadae ulichapishwa katika jarida la ‘Archives of Dermatology’. ✅Wanaeleza kwamba mwanamke anayesuka mara kwa mara hujiweka kwenye hatari zaidi ya kunyonyoka nywele zake za asili ikilinganishwa na yule anayesuka mara chache. ✅Kwamba, urembo huo uchangia kwa kiasi kikubwa kuongeza kiwango cha maambukizi kwa kuzaliwa bakteria ambao uharibu mfumo mzima wa ukuaji wa nywele na kuharibu ute ute mu...

The law of mind

It is a law of the mind that it will narrow or expand to the dimensions of the things with which it becomes familiar. *The mental powers will surely become contracted and will lose their ability to grasp the deep meanings of the Word of God unless they are put vigorously and persistently to the task of searching for truth.* The mind will enlarge if it is employed in tracing out the relation of the subjects of the Bible, *comparing scripture with scripture,* and spiritual things with spiritual. *Go below the surface; the richest treasures of thought are waiting for the skillful and diligent student.*—The Review and Herald, July 17, 1888.  - 1MCP 101.1