ZIJUE SABABU ZA MIMBA KUTOKA KABLA YA WAKATI


➡️Mimba kuharibika au miscarriage ni kitendo cha kupoteza kichanga kwa mama mjamzito kabla ya muda wa kujifungua kuwadia.

    Mara nyingi hutokea ndani ya miezi mitatu ya mwanzo baada ya kushika ujauzito. sababu za  mimba kutoka zinatofautiana kwa kila mwanamke.

➡️ Namna 5 za Mimba Kuharibika na Kutoka.


   ➡️ Kuna aina namna nyingi za mimba kuharibika. Kwa Kutegemeana na sababu ya mimba yako kutoka mapema pamoja na hatua ya ukuaji wa mimba aina hizi zinaweza kuainishwa kama ifuatavyo

1️⃣  Blighted ovum: ni pale yai lililorutubishwa linajipandikiza kwenye ukuta wa uterus lakini mimba haikui na kupelekea kuharibika.

2️⃣  Complete miscarriage: ni pale kiumbe kilichotungwa kinatolewa nje ya mfuko wa mimba. Inaweza kusababisha damu kuvuja

3️⃣ Missed miscarriage: Ni pale kiumbe kidogo kufariki tumboni pasipo kupata viashiria vyovyote

4️⃣ Reccurent miscarriage: ni pale mimba zako zinapotoka mfululizo mara 3 au zaidi ndani ya miei mitatu ya kwanza

5️⃣Threatened miscarriage: Ni pale mjamzito anaanza kupata dalili za kutokwa na damu ukeni na maumivu yanayoashiria kuharibika kwa mimba.
 
➡️Nini hasa Kinasababisha Mimba Kuharibika Na Kutoka Kabla ya Wakati?

  Wakati wa ujauzito mwili hupeleka virutubisho na homoni kwenye kiumbe kinachokua. 

-Hivi vyote husaidia kiumbe kuwa na afya njema na kukua vizuri. 

-Mimba nyingi zinazoharibika ndani ya miezi mitatu ya kwanza ni kutokana na kiumbe kudumaa. 

-Kuna sababu nyingi zinapelekea Mimba kuharibika mapema kama ifuatavyo

1️⃣lishe mbaya inayokosa virutubisho  vingi

2️⃣matumizi ya pombe, madawa na sigara

3️⃣matatizo kwenye tezi ya thairodi ambayo hayajatibiwa

4️⃣maambukizi kwenye njia ya uzazi (PID)

5️⃣msongo wa mawazo

6️⃣uzito mkubwa na kitambi

7️⃣matatizo kwenye mlango wa kizazi (cervical incompetence)

8️⃣kulegea kwa mfuko wa mimba (Kansa ya shingo ya kizani)

9️⃣shinikizo la damu kuwa juu zaidi

🔟kutumia chakula chenye sumu 
matumizi ya dawa pasipo ushauri wa Dactari

➡️ Kwa Ushari Na Matibabu Wasiliana Na J_Z_CARE:0754820488

Comments

Popular posts from this blog

Ujue Ugonjwa Wa PID BY DR CHRISS

ATHARI ZA KUSUKA, KUWEKA DAWA KWA KINA DADA*