Nani atapata fedheha



Mwanaume mmojaa alikuwa
anamlazimisha mkewe kufanya
mapenzi gizani kwa muda wa
miaka kumi.

Ndipo siku moja mwanamke
uzalendo ukamshinda na kuamua
kuwasha taa kwa ghafla. Ile kawasha tu, tualipigwa na bumbuwazi baada ya kuona kuwa
kumbe mumewe ana uume wa bandia!

Mwanamke alihamaki na kumwambia mume wake haya naomba maelezo haraka kabla
sijakinukisha kwa majirani
na marafiki zako? 

Mwanaume akajibu Mimi ndio
naomba maelezo makubwa mno,
nataka uniambie hawa watoto
wetu watatu wamepatikana vipi?🤣🤣
 
Swali: Nani atapatwa na fedheha zaidi, deal lake likibumburuka. 🤣🤣

A. 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝘂𝗺𝗲👨🏾
B. 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝗺𝗸𝗲👩🏽

Comments

Popular posts from this blog

Ujue Ugonjwa Wa PID BY DR CHRISS

ATHARI ZA KUSUKA, KUWEKA DAWA KWA KINA DADA*

ZIJUE SABABU ZA MIMBA KUTOKA KABLA YA WAKATI